Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imepuzilia mbali ripoti ya Tume ya kutetea Haki za Binadamu Nchini (KHRC), iliyopendekeza kuondolewa kwa hazina ya Hustler, ikidai hazina hiyo ni ya kisiasa na ya kibaguzi. Katika mkutano…