Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirikisho la soka nchini (FKF) limesaini mkataba wa maelewano na shirikisho la kandanda nchini Morocco (FRMF), kushirikiana katika mikakati ya kuimarisha soka humu nchini. Mwafaka huo ulisainiwa jana jijini Rabat…