Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameelekeza maafisa wa usalama katika kaunti ya Laikipia kukomesha visa vya ukosefu wa usalama katika eneo hilo akionya kwamba uzembe hautavumiliwa. Akizungumza katika kanisa katoliki la…