Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Gilbert Masengeli amehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani. Katika uamuzi wake alioutoa leo Ijumaa, Jaji Lawrence Mugambi amemtaka Masengeli kujisalimisha kwa Kamishna Mkuu wa Magereza…