Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama kuu imeamua kwamba ada ya nyumba ilitekelezwa ipasavyo kulingana na katiba na kwamba kulikuwa na ushirikishaji mwafaka wa umma kabla ya kupitisha ada hiyo. Mwezi Julai mwaka huu, mahakama…