Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hospitali zote nchini zimetakiwa kuhakikisha wanachama wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) wanaendelea kupata huduma za matibabu kama kawaida. Katibu wa Idara ya Huduma za Matibabu Harry Kimtai ameelezea…