Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa Gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ambaye amependekezwa kuwa Waziri wa Vyama vya Ushirika na Biashara Ndogo na za Kadri, amesema kwamba mipango haramu ya uwekezaji almaarufu "pyramid…