Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amewataka Wabunge kuwapiga msasa ipasavyo Mawaziri walioteuliwa na Rais william Ruto, ili kuhakikisha ni wale tu wanaofaa watakaoidhinishwa. Wanyonyi amesema pia ipo haja ya kubadilisha…