Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mbunge wa eneo la Kapenguria lililo katika kaunti ya Pokot Magharibi Samuel Moroto amewataka maafisa wa usalama wa kaunti hiyo kushughulikia tatizo la wizi wa pikipiki. Moroto aliyekuwa akihutubia hafla…