Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ameondolewa kwenye wadhifa wa naibu mwenyekiti wa chama tawala UDA, na mahala pake kuchukuliwa na naibu rais Kithure Kindiki. Katika taarifa, kamati kuu cha kitaifa…