Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwana wa kiume aliyesalia wa marehemu Raila Amolo Odinga, Raila Odinga Junior, ameahidi kwamba ataendelea kutunza familia yao, kufuatia kifo cha babake mzazi. Junior alitoa ahadi hiyo wakati wa kusoma…