Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali hivi karibuni itaanzisha kampeni kabambe ya kumpigia debe kiongozi wa upinzani Raila Odinga anayewania wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika. Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia…