Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mgomo unaoendelea wa wahadhiri wa vyuo vikuu hauonyeshi dalili zozote za kukoma, huku kujitolea kwa serikali kufadhili mapatano ya shilingi bilioni 4.3 kukighubikwa na kutojulikana. Kamati ya elimu katika bunge…