Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati ya Bunge la kitaifa kuhusu uhusiano wa kikanda imeahidi kuharakisha kuridhiwa kwa marekebisho muhimu ya itifaki ya umoja wa forodha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki - EAC. Hatua hiyo…