Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mbunge wa Kigamboni nchini Tanzania, Dkt. Faustine Ndugulile amefariki dunia,usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024 akipatiwa matibabu nchini India. Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na Spika wa Bunge…