Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati ya Michezo katika Bunge la Kitaifa imetishia kumwekea vikwazo Katibu wa Wizara ya Michezo Peter Tum, baada yake kukosa kufika mbele yake kujibu maswali ya uwajibikaji katika Wizara yake.…