Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanawake wamehimizwa wawanie nyadhifa za uongozi kwa wingi, mkakati utakaowahakikishia uwakilishi katika bunge la taifa, Seneti na mabunge ya kaunti. Wabunge wa kike walikongamana mjini Machakos kumotisha wanawake wanaopania kuwa…