Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kazi ya upanuzi na ukarabati wa uwanja wa Raila Odinga inatarajiwa kukamilika na kukabidhiwa serikali ya taifa kufikia Mei,15 2025 kwa matayarisho ya sherehe zijazo za siku kuu ya Madaraka.…