Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Afisa wa polisi anazuiliwa baada ya mwanamke kupigwa risasi nje ya kituo cha polisi cha Homa Bay Alhamisi usiku. Kisa hicho kilitokea wakati umati ulikuwa umekusanyika kumuomboleza aliyekuwa Waziri Mkuu…