Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunge la Kitaifa kwa sasa linaandaa kikao cha kumbandua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua. Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse amewasilisha bungeni hoja maalum ya kutaka Gachagua abanduliwe madarakani. Mutuse…