Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini KEMRI imepokea ufadhili wa shillingi billioni saba za kugharamia utafiti wa chanjo ya virusi vya HIV ikishirikiana na washirika wengine wa bara la Afrika.…