Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali itawaadhibu vikali wale watakaopatikana kuhususika katika kusababisha mkasa wa moto wa shule ya Hillside Endarasha Academy katika kaunti ya Nyeri. Akizungumza mapema Alhamisi kwenye ibada ya wanafunzi 21 waliofariki…