Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba amekiri kwamba mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu uliozinduliwa mwaka jana haujaafikia matokeo yaliyotarajiwa. Akizungumza baada ya mkutano na kamati ya kitaifa…