Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mchekeshaji na mwigizaji Crazy Kennar ametangaza kifo cha mwanawe wa kiume. Hakutoa maelezo zaidi lakini alisema aliaga dunia siku 4 kabla ya onyesho lake. Akizungumza wakati wa kufunga onyesho hilo…