Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti ametoa wito kwa kiongozi wa nchi Rais William Ruto kutafakari vilivyo kabla ya kuteua mawaziri. Akizungumza jana Jumapili katika kanisa la katoliki la…