Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Nakuru Susan Kihika ameitwa kuhudhuria kikao cha kamati ya bunge la seneti kuhusu Afya, kutokana na mzozo unaoendelea wa hospitali ya War Memorial. Ikiwa miezi miwili…