Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati amedai wapinzani wake wamepanga njama ya kumuua kwa kumtilia sumu baada ya kushindwa kumbandua afisini. Arati amesema njama hiyo inatokana na hatua yake…