Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ametangaza kupanua mradi wa lishe shuleni kwa wanafunzi maarufu kama "Dishi La County", kwa shule za mitaa ya mabanda. Akizungumza Jumatatu Sakaja amesema hatua hiyo…