Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamitandao Vanesa Cheruto maarufu kama Vanesa Chettle hatimaye amekutana na Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii ambaye ameanza shughuli ya kumsaidia kurejelea maisha ya kawaida. Oga Obinna alichapisha…