Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mgomo unaoendelea wa wauguzi umeingia siku yake ya nne leo katika Kaunti ya Siaya ambapo jana wahudumu wa afya walimiminika mitaani wakiishutumu serikali ya kaunti kwa kupuuza matatizo yao. Mgomo…