Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kilimo katika kaunti ya Homa Bay kimeimarishwa baada ya mradi wa wafadhili kuanzishwa ambao unalenga kuimarisha ustahimilivu wa hali ya hewa katika uzalishaji wa mazao. Akizungumza ofisini mwake siku ya…