Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaunti ya Kakamega itakuwa mwenyeji wa michezo ya kicosca mwezi huu huku gavana wa Kaunti hiyo, Fernandes Barasa, akiteuliwa kinara wa michezo ya Serikali za Magatuzi nchini inayojulikana kama KICOSCA.…