Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Embu inapanga kwenda mahakamani kupinga hatua ya serikali za kaunti za Mombasa na Kilifi ya kupiga marufuku uuzaji na matumizi ya Muguka. Naibu Gavana wa kaunti…