Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hospitali ya rufaa na mafunzo ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu imepandishwa hadhi na kuwa shirika la serikali. Mkurugenzi mtendaji wa hospitali hiyo Daktari Richard Lesiyampe amesema kwamba mabadiliko hayo…