Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakulima katika Kaunti ya Kirinyaga wanavuna sana kutokana na miradi ya unyunyiziaji mashamba maji iliyoanzishwa na Serikali ya Kaunti. Miradi hiyo inayolenga kuongeza upatikanaji wa maji ya kunyunyizia mashamba imewezesha…