Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Nassir jana aliongoza uzinduzi wa kitengo cha kushughulikia watoto katika hospitali kuu ya eneo la Pwani almaarufu Coast General Hospital. Nassir alisema kwamba hospitali…