Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baraza la Magavana limetoa wito kwa bunge la taifa liharakishe mchakato wa kupitisha mswada wa nyongeza ya ufadhili wa serikali za kaunti wa mwaka 2025. Kulingana na Magavana hao, serikali…