Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwili wa afisa wa polisi wa Kenya aliyefariki nchini Haiti uliwasili nchini jana Jumatatu jioni. Samuel Tompoi Kaetuai, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha kimataifa cha kusaidia kudumisha usalama nchini…