Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya, anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama za Milimani leo Jumanne, baada ya maafisa wa Tume ya Maadili na kukabiliana na Ufisadi EACC kumkamata siku ya Jumatatu…