Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa waliokamatwa kuhusiana na sakata ya utekaji nyara bandia wa mbunge wa Juja George Koimburi, wamefikishwa mahakamani leo Ijumaa. Maafisa wa polisi ambao wanaendelea na uchunguzi, wamewasilisha ombi mahakamani kuendelea…