Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa mkuu wa majeshi ya Kenya marehemu Jenerali Francis Ogolla, alikumbukwa jana kwenye hafla ya kusherehekea miaka 60 ya uwepo wa jeshi la wanahewa. Katika hafla hiyo iliyoandaliwa katika kituo…