Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanajeshi walioongoza mapinduzi ya serikali nchini Niger sasa wanapendekeza serikali ya mpito ambayo itaongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu kabla ya kurejelea uongozi wa kiraia. Wameonya dhidi ya…