Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mvua kubwa imesababisha mafuriko katika eneo la Gaza, huku zaidi ya 800,000 wakitatozika. Mvua kubwa na dhoruba kali katika eneo hilo, zimesababisha majengo kadhaa kuporomoka. Maji yameendelea kutiririka kupitia nafasi…