Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti amekana kuhusika katika mizozo inayoshuhudiwa katika Bunge la Kaunti ya Machakos. Chanzo cha mizozo hiyo ni kuchipuka kwa tofauti kati ya Wawakilishi Wadi…