Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Nairobi leo Jumatano imefanya mkutano na miungano ya waendesha bodaboda wa katikati ya jiji la Nairobi. Lengo la kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Green Park…