Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hazina ya Nawiri inayokusudia kuhakikisha vijana, wanawake, watu wanaoishi na ulemavu na wengineo wanaepukana na vikwazo vya kiuchumi vinavyowazuia kufikia ndoto zao maishani imezinduliwa katika kaunti ya Trans Nzoia. Hazina…