Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunge la Seneti kesho Jumatano litaandaa kikao maalum kuangazia mashtaka yaliyosababisha bunge la kaunti ya Meru kumtimua Gavana Kawira Mwangaza kwa mara ya tatu sasa. Nyaraka zilizotumiwa na wawakilishi wadi…