Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza amepata pigo baada ya Mahakama Kuu kudumisha uamuzi wa Bunge la Seneti wa kumfurusha madarakani. Gavana Mwangaza alielekea mahakamani kupinga uamuzi huo akidai…