Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ubabe wa kisiasa kati ya Gavana wa sasa wa Kakamega Fernandes Barasa na mtangulizi wake Wycliffe Oparanya unaonekana kuongezeka huku viongozi hao wawili wakizidi kurushiana cheche kali za maneno. Katika…