Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Rais kuhusu Mabadiliko katika Vikosi vya Usalama nchini iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu David Maraga, imefuchua uozo mkubwa katika vikosi vitatu vikuu nchini. Kulingana na ripoti ya tume…